Saa ya ukombozi
Toleo la 1.
Our rough guess is there are 44,750 words in this book.
At a pace averaging 250 words per minute, this book will take 2 hours and 59 minutes to read. With a half hour per day, this will take 6 days to read.
How long will it take you?
This book will take an estimated to read at a reading speed averaging words per minute. With 30 minutes per day, this will take to read.
Enter your reading speedYou can take one of our WPM reading speed tests to find your reading speed.
Create a free account to track your reading progress, build your reading list, and set reading goals.
We earn a commission on purchases
Author
Publication
2009 - Tanzania Educational Publishers, Bukoba, Tanzania, Tanzania
Language
Swahili
Word Count
44,750 words, Guess
Page Count
179 pages
Physical Format
Paperback
Identifiers
- Open LibraryOL31190698M
- ISBN-139789987070398
- OCLC Control Number658201273
- Library of Congress Control Number2010324538
- GooglexWUqCgAAQBAJ
Classifications
- LCCMLCS 2010/00844 (P)
Description
>Wanakijiji cha Githakwa, kijiji kilichogundulika kuwa na vito vya thamani visivyopatikana kokote isipokuwa Githakwa wanajikuta wakiuzwa bila wao hata serikali kuu kujua! Mbunge wao, Harry mtoto wa mpishi wa zamani wa wakoloni na msaliti Livingstone Kupata, anawauza kwa mwekezaji wa kizungu Glutton Sucker mwenye kampuni la Get Rich in Goon’s World Co (GRGW) kwa kushirikiana na mkuu wa mkuu wa wilaya Mrongo Kumbakumba, mkuu wa mkoa, Gibbons Dikupatile na waziri wa fedha ambaye ni shemeji yake Harry baada ya kupewa chao -ten percent- ambayo imegeuka muuaji mkuu wa chumi za nchi nyingi na watu wake. > >Wakati yote haya yakijiri, si rais wala wananchi wengine wana taarifa ya hujuma hii iliyofichwa kwenye uwekezaji wa kifisadi, ubinafsishaji vinavyogeuka kuwa ufisi na ubinafsi. Kila mwenye madaraka ana-Chukua Chake Mapema hata kwa kuwauza watu wake na mali zao. Kila chura analia kivyake na kila mbuzi anakula zaidi ya urefu wa kamba yake! > >Katika kisa hiki, mzee mmoja maarufu Njema anawaongoza wanakijiji kupambana na jinai hii. Kwa msaada wa vyombo vya habari na mashirika ya kupigania haki za binadamu, wanakijiji wanafanikiwa kuwashinda wezi hawa wa mchana tena wa kuzaa wenyewe. - [the author](https://mpayukaji.blogspot.com/2010/03/kitabu-chasaa-ya-ukombozi.html)
Description
A novel.
Subjects
Topics
Reader Reviews
No reviews yet for this book.
Be the first to share your thoughts!